Daily Swahili radio programs from Adventist World Radio - Karibu katika matangazo ya kiswahili ya Redio ya Waadventista Ulimwenguni
…
continue reading
Vatican News vipaumbele vyake: Habari za Baba Mtakatifu; Vatican, Kanisa la Kiulimwengu na Kanisa Barani Afrika. Tunazo habari za kisiasa na kijamii kutoka Barani Afrika na Dunia katika ujumla wake. Tovuti hii inapambwa na Tafakari ya Neno la Mungu pamoja na Makala mbali mbali. - Podcast - Radio Vaticana - Vatican News
…
continue reading
…
continue reading
…
continue reading
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
…
continue reading
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
…
continue reading
Here for life vibes and personal experiences✨ A kiswahili - English based podcast!
…
continue reading
Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
…
continue reading
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
…
continue reading
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
…
continue reading
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
…
continue reading
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
…
continue reading
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
…
continue reading
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
…
continue reading
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
…
continue reading
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
…
continue reading
AfisaAfya ni podcast pekee ya lugha ya Kiswahili itakayokuwa inawaletea mada, mijadala na mahojiano kuhusu afya ya mwanadamu na jinsi ambavyo afya zetu zinaweza kuathiriwa na mazingira tunamoishi, kila siku ya jumapili.
…
continue reading
This is a podcast based on the famous quote by Maryanne Kimani SEIZE YOUR MOMENT to encourage people to put their today in practice for a better tomorrow. Tell a story to change a nation Email; kmaryanne17@gmail.com Instagram; jobl_onskie17 Youtube ; Girl’s time ; Kiswahili kids stories
…
continue reading
When I was a child, thought God had made me the lowest possible form of human being, to be both Black and female. I felt this way because of the stories I was told. SOSOADAE : FM is a show about how fiction forms the world, through the lens of Black culture and fiction literacy to help readers/writers imagine and craft a more empathetic, more just, and more perfect humanity (through more perfect stories). **To become a partner or sponsor, send a n email to nefertiti@sosoadae.com.
…
continue reading
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
…
continue reading
Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
…
continue reading
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
…
continue reading
Daraja Press is a not-for-profit publisher, based in Québec, Canada, that seeks to reclaim the past, contest the present and invent the future. Daraja is the KiSwahili word for ‘bridge’. As its name suggests, Daraja Press seeks to build bridges, especially bridges of solidarity between and amongst movements, intellectuals and those engaged in struggles for a just world. We seek to build upon, develop and support interconnections between emancipatory struggles of the oppressed and exploited a ...
…
continue reading
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
…
continue reading
Africa's LSP Podcast is a monthly podcast for the African language services industry, covering trends in translation, interpretation, localization, and language services in Africa. We speak with industry professionals such as translators, interpreters, language researchers, and scholars, as well as African language enthusiasts. Africa's LSP Podcast is presented by Bolingo Consult. Kindly send feedback and suggestions to info@bolingoconsult.com Visit our website at www.bolingoconsult.com Soun ...
…
continue reading
Podcast by Shuga Radio
…
continue reading
RICHLIT FOREX ACADEMY, Hii ni jukwaa la masomo la mtandaoni lililokusudiwa kuelimisha na kutoa rasilimali kwa watu wote ambao wana nia ya kujifunza biashara ya forex au wanataka kuboresha ufahamu wao wa biashara. Mwanzilishi wa RICHLIT FOREX ACADEMY ndiye mfanyabiashara wa kwanza wa vijana ..
…
continue reading
1
Idhaa ya Kiswahili 09.11.2024
13:59
13:59
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
13:59
…
continue reading
Kongamano la kimataifa la Kiswahili leo limeng’oa nanga jijini Havana Cuba likiwaleta pamoja takribani washiriki 400 kutoka Afrika, Asia, Amerika na Ulaya ili kujadili ajenda mbalimbali za kupanua wigo wa luugha hiyo na kuitumia kuleta tija ikiwemo kusongesha malengo ya Umoja wa Mataifa kama amani na maendeleo endelevu. Akizungumza na Idhaa ya Kisw…
…
continue reading
Kumsifu Bwana kwa njia ya nyimbo, Roho mtakatifuPar Adventist World Radio
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 10/11 15h36 GMT
24:00
24:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
24:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 10/11 15h10 GMT
20:00
20:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
20:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Taarifa ya habari 10/11 15h00 GMT
10:00
10:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
10:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 10/11 05h36 GMT
24:00
24:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
24:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 10/11 04h36 GMT
24:00
24:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
24:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
CAF: Ligi ya klabu bingwa barani Afrika 2024 kwa kina dada yaanza nchini Morocco
23:47
23:47
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
23:47
Tumeangazia klabu ya Chaux Sport kutoka DRC kubanduliwa kwenye mechi za kufuzu Ligi ya Basketboli Afrika 2024, masaibu ya Yanga SC nchini Tanzania, uchaguzi wa FKF nchini Kenya, mashindano ya kuendesha baiskeli Afrika kwa kina dada nchini Burundi, kifo cha rais wa soka nchini Algeria, matokeo na uchambuzi wa mechi za klabu bingwa Ulaya na fainali y…
…
continue reading
1
Shindano la filamu kwa kutumia simu ya Mkononi na msanii kutoka Mombasa Rojo Mo
19:58
19:58
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
19:58
Karibu katika makala changu chako chako changu Jumapili yaleo ambapo tutakijita zaidi kwenye matokeo ya shindano la kutengeneza filamu kwa kutumia simu ya mkononi liliooandaliwa na Alliance Francaise ya Nairobi nchini Kenya na kwenye Muziki tutakuwa naye msanii kutoka Mombasa Rojo Mo. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu, restons ensemble mwanzo…
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 09/11 15h36 GMT
24:00
24:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
24:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 09/11 15h10 GMT
20:00
20:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
20:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Taarifa ya habari 09/11 15h00 GMT
10:00
10:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
10:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Haya ni maoni ya waskilizaji wetu juma hili.Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Sanaa ya uchoraji wa vinyago na fursa wa biashara inazoleta
20:13
20:13
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
20:13
Wabunifu wa Sanaa ya Uchongaji Vinyago wamewekeza katika kung'amua fursa ya biashara kwa Mataifa ya Afrika Mashariki ili kujikwamua na vipato Duni, Steven Mumbi amezungumza na Mintanga Ramadhani Msanii wa Sanaa za Uchongaji Vinyago kutoka nchini Tanzania.Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uchaguzi wa Marekani, mapigano DRC, kampeni za Raila kuwania uenyekiti wa tume ya AU
20:15
20:15
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
20:15
Donald Trump achaguliwa kuwa rais wa 47 wa Marekani, Ziara ya rais wa Kenya William Ruto huko Addis Ababa Ethiopia, na Sudan Kusini, na Raila Odinga kuzindua azma yake ya kuwania uenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika, kuelekea uchaguzi huo utakaofanyika Februari mwaka 2025. Mapigano makali kati ya waasi wa M23 na wazalendo mashariki mwa DRC, Umoja w…
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 09/11 05h36 GMT
24:00
24:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
24:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 09/11 04h36 GMT
24:00
24:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
24:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 08/11 15h43 GMT
17:00
17:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
17:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Idhaa ya Kiswahili 08.11.2024
27:59
27:59
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
27:59
…
continue reading
1
Taarifa ya habari 08/11 15h30 GMT
13:00
13:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
13:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 08/11 15h15 GMT
15:00
15:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
15:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Taarifa ya habari 08/11 15h00 GMT
15:00
15:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
15:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea kipindi maalum kinachotupeleka jijini Havana Cubaambapo kongamano la kimataifa la Kiswahili limeng’oa nanga likiwaleta pamoja takribani washiriki 400 kutoka Afrika, Asia, Amerika na Ulaya ili kujadili ajenda mbalimbali za kupanua wigo wa luugha hiyo na kuitumia kuleta tija ikiwemo kusongesha malengo ya Umoja wa Mataifa …
…
continue reading
1
Afya ya uzazi na kujifungua
10:20
10:20
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
10:20
Makala ya siha njema wiki hii tunaangazia Afya ya uzazi na kujifungua na sio safari nyepesi.Ni safari yenye changamoto haba na furaha kwa wanawake na familia zao. Ni muhimu kwa kila mama mjamzito kufahamu hatua muhimu za kuhakikisha ustawi wa afya yake na ya mtoto anayemtarajia. Kupitia huduma bora za kiafya na ushauri wa wataalamu, wanawake wanawe…
…
continue reading
Sekta ya Kilimo inaongoza kuwa na fursa nyingi za uwekezaji kwa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla kwa mfano uzalishaji wa Ngano, mafuta ya kupikia, matunda na mboga mboga, mbolea, Viatilifu, mbegu bora, vifungashio, kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno na eneo la kilimo cha umwagiliaji.…
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 08/11 05h40 GMT
20:00
20:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
20:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Taarifa ya habari 08/11 05h30 GMT
10:00
10:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
10:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uchambuzi na makala 08/11 04h40 GMT
20:00
20:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
20:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Taarifa ya habari 08/11 04h30 GMT
10:00
10:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
10:00
Par RFI Kiswahili
…
continue reading
Katika Makala haya, tunajadili hatua ya hivi karibuni ambapo baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki yamendelea kurekodi ongezeko la visa vya utekaji na mauaji, vingi vikitekelezwa na idara za usalama au watu wasiojulikana. Unazungumziaje hali hii ? Haya hapa baadhi ya maoni yako.Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Idhaa ya Kiswahili 07.11.2024
27:59
27:59
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
27:59
…
continue reading
1
Fahamu kuhusu faida za kidiplomasia na kiuchumi zilizoletwa na lugha ya Kiswahii kisiwani Zanzibar
6:41
Huko Havana Cuba mambo yanaendelea kuiva kwenye Kongamano la kimataifa la Kiswahili huku wageni wakitoka katika kila pembe ya dunia kushiriki. Miongoni mwao ni Waziri Tabia Maulid Mwita kutoka Zanzibar ambaye amezungumza na shuhuda wetu katika kongamano hilo Flora Nducha kuhusu faida za kiplomasia na kiuchumi zilizoletwa na lugha ya Kiswahii Kisiwa…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka huko Havana Cuba kwenye Kongamano la kimataifa la Kiswahili kusikia kutoka kwa waziziri Zanzibar kuhusu faida za kiplomasia na kiuchumi. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na ujumbe kuhusu Kiswahili.Fedha kwa ajili ya mipango ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ni jambo lililopatiwa k…
…
continue reading
1
Donald Trump arejea White House kwa kishindo
10:04
10:04
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
10:04
Donald Trump amechaguliwa tena rais wa Marekani baada ya kukaa kwenye kijibaridi kwa kipindi cha miaka 4. Waskilizaji wa rfi Kiswahili walikuwa na maoni haya baada ya mshindi wa Trump.Par RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Sehemu ya pili: Je kuongeza kodi ni suluhu kwa matatizo ya Afrika
10:02
10:02
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
10:02
Msikilizaji kwa muda sasa mataifa ya Afrika yameendelea kupitia changamoto za kifedha, kuanzia katika kukusanya mapato na matumizi kwa ajili ya maendeleo yake, hali ambayo imesababisha nchi nyingi kujikuta pabaya kutokana na kulazimika kukopa fedha toka kwa taasisi za kimataifa au nchi zilizoendelea huku ziklipa riba kubwa katika urejeshaji. Lakini…
…
continue reading
1
Idhaa ya Kiswahili 06.11.2024
27:59
27:59
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
27:59
…
continue reading
Kwa kutambua thamani na mchango Mkubwa wa lugha ya Kiswahili katika Kanda ya Afrika Mashariki na kimataifa, sasa serikali ya Uganda imeivalia njuga lugha hiyo kwa kuweka mikakati maalum ya kuhakikisha inafundishwa na kuzungumzwa kuanzia shuleni hadi Bungeni. Flora Nduha wa Idhaa hii aliyeko mjini Havana Cuba kutujuza yanayojiri katika kongamano la …
…
continue reading
Kufuatia Donald J Trump kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa Rais wa Marekani uliofanyika Jumanne Novemba 5, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa salamu za pongezi. Taarifa iliyotolewa Jumatano asubuhi jijini New York, Marekani na msemaji wa Umoja wa Mataifa, imemnukuu Guterres akisema napongeza wananchi wa Marekani kwa ushirik…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia uchaguzi mkuu nchini Marekani, na watoto wanaotumikishwa jeshini na waasi nchini DRC. Makala tunakupeleka Havana nchini Cuba, na mashinani nchini Kenya, kulikoni?Kufuatia Donald J. Trump kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa Rais wa Marekani uliofanyika Jumanne Novemba 5, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterre…
…
continue reading
Harakati za ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC za kunasua watoto na vijana wanaotumikishwa vitani zinaendelea na tukio la hivi karibuni zaidi ni la kijana.Katika video ya MONUSCO iliyochapishwa kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Ombeni anasimulia jinsi waasi wa FDLR mashariki mwa DRC w…
…
continue reading
Katika makala haya tunajadili kilichotokea nchini Botswana ambapo Chama tawala Democratic Party, ambacho kimekuwa madarakani tangu enzi za ukombozi kwa maika 58, kimekubali kushindwa na kukabidhi madaraka kwa upinzani, Duma Boko akiapishwa kuhudumu rais kama rais wa sita wa Botswana. Je mataifa mengine ya Afrika yenye vyama vya ukombozi madarani ya…
…
continue reading
1
Idhaa ya Kiswahili 05.11.2024
27:59
27:59
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
27:59
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoangazia uvuvi katika mji wa Kalokol karibu na fuo za Ziwa Turkana Kaskazini mwa Kenya. Pia tunakuletea muhtasari wa habari zikiwemo za mkutano wa WUF12 Cairo Misri, chanjo ya malaria Sudan, siku ya Tsunami, na mashinani.Mkutano wa 12 wa Jukwaa la Miji Duniani, WUF12 umeingia siku ya pili hii leo huko …
…
continue reading