Player FM - Internet Radio Done Right
14 subscribers
Checked 19h ago
Ajouté il y a neuf ans
Contenu fourni par France Médias Monde and RFI Kiswahili. Tout le contenu du podcast, y compris les épisodes, les graphiques et les descriptions de podcast, est téléchargé et fourni directement par France Médias Monde and RFI Kiswahili ou son partenaire de plateforme de podcast. Si vous pensez que quelqu'un utilise votre œuvre protégée sans votre autorisation, vous pouvez suivre le processus décrit ici https://fr.player.fm/legal.
Player FM - Application Podcast
Mettez-vous hors ligne avec l'application Player FM !
Mettez-vous hors ligne avec l'application Player FM !
Habari RFI-Ki
Tout marquer comme (non) lu
Manage series 1143115
Contenu fourni par France Médias Monde and RFI Kiswahili. Tout le contenu du podcast, y compris les épisodes, les graphiques et les descriptions de podcast, est téléchargé et fourni directement par France Médias Monde and RFI Kiswahili ou son partenaire de plateforme de podcast. Si vous pensez que quelqu'un utilise votre œuvre protégée sans votre autorisation, vous pouvez suivre le processus décrit ici https://fr.player.fm/legal.
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
24 episodes
Tout marquer comme (non) lu
Manage series 1143115
Contenu fourni par France Médias Monde and RFI Kiswahili. Tout le contenu du podcast, y compris les épisodes, les graphiques et les descriptions de podcast, est téléchargé et fourni directement par France Médias Monde and RFI Kiswahili ou son partenaire de plateforme de podcast. Si vous pensez que quelqu'un utilise votre œuvre protégée sans votre autorisation, vous pouvez suivre le processus décrit ici https://fr.player.fm/legal.
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
24 episodes
Tous les épisodes
×H
Habari RFI-Ki

1 Wanamgambo wa RSF waandaa mkutano wa kuunda serikali mbadala Nairobi 10:01
10:01
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé10:01
Wanamgambo wa RSF wanaopigana na jeshi nchini Sudan na washirika wake wakiwemo wanasiasa wapo jijini Nairobi nchini Kenya, wanakojadiliana kuhusu uundwaji wa serikali mbadala wakati huu inapoendelea na vita. Unazungumzia vipi harakati hizi za RSF ? Unafikiri ni kwanini Kenya imewaruhusu wanamgambo hao kukutana katika nchi yake ?…
H
Habari RFI-Ki

1 Kikao cha usalama wa DRC na Sudan chakamilika Ethiopia bila suluhu 10:00
10:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé10:00
Makala ya leo yanaangazia Kikao cha viongozi wa Afrika, kilichotamatika rasmi mwishoni mwa juma lililopita nchini Ethiopia, mzozo wa DRC na Sudan ukigubika mijadala yao. Hata hivyo vikao hivyo vimekamilika bila suluhu ya mizozo ya nchi zote mbili, ambapo vyongozi waliishia kwa kutoa wito wa kusitisha mapigano. tulimuuliza msikilizaji iwapo anaridhika na matokeo ya kikao hicho na anadhani nini cha zaidi viongozi hawa wangefanya kukomesha mizozo barani Afrika…
H
Habari RFI-Ki

1 Mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika kuzingatia usalama wa DRC 10:00
10:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé10:00
Mkutano wa kila mwaka wa viongozi wa Afrika umeanza rasmi jijini Addis Ababa, #Ethiopia ambapo maswala muhimu ikiwemo usalama mashariki mwa #DRC, mapinduzi ya kijeshi na vita dhidi ya makundi ya kijihadi yakitarajiwa kugubika mkutano huu.Tulimuuliza mskilizaji natarajia nini kipya kutoka kwa viongozi wa AU? na iwapo anafikiri viongozi wameshindwa kumaliza changamoto za bara hili..…
H
Habari RFI-Ki

1 Kauli ya rais Donald Trump kuhamisha wapalestina yapingwa vikali 10:00
10:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé10:00
Kwenye kipindi cha leo tunaangazia kauli tata ya Rais Donald #trump, kuhusu mzozo wa #Gaza, safari hii akitishia kuvunjika kwa mkataba wa usitishaji mapigano, ikiwa Hamas haitawaachia mateka wote ifikapo Jumamosi ya wiki hii.Juma lililopita alidai kuwa nchi yake itachukua udhibiti wa Gaza na kuwahamisha Wapalestina.Tulimuuliza mskilizaji anazungumziaje kauli hiyo ya Trump and je huenda zikachochea mzozo zaidi kati ya #Israel na Hamas?…
Makala haya yanaangazia hatua ya Serikali ya kenya kusema hakutakuwa na haja ya mahojiano kwa waomba vitambulisho toka katika maeneo ya mpakani, uamuzi ambao umeibua mjadala kuhusu masuala ya usalama.Tulimuuliza msikilizaji anazungumziaje hatua hiyo ya Kenya vile vile nchini mwake hali ikoje
kwenye makala ya leo tunaangazia hatua ya wakuu wa nchi za #SADC na EAC kutaka kusitishwa mapigano maramoja ,na kutaka kuondoka kwa vikosi vya kigeni mashariki mwa #DRC, pamoja na Serikali ya Kinshasa kuzungumza moja kwa moja na waasi wa #M23 ambapo wito huo umepokelewa kwa hisia mseto na raia wa ukanda.…
H
Habari RFI-Ki

1 Kila siku ya Ijumaa huwa tunaangazia mada huru kwenye makala habari rafiki 10:03
10:03
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé10:03
Kila siku ya ijumaa ni mada huru ambapo Tunampa nafasi msikilizaji kujadili suala lolote ambalo limetokea nchini mwake wiki hii au kile ambacho amekisikiliza kwenye habari zetu juma hili.
Wakuu wa nchi za Afrika walikutana juma hili nchini Tanzania ambapo walijadiliana kuhusu changamoto za upatikanaji wa Nishati ya Uhakika katika mataifa hayo. Licha ya rasilimali za bara la Afrika bado hakuna nishati ya uhakika na endelevu? Bonyeza uskilize maoni mbalimbali.
H
Habari RFI-Ki

1 Athari za Donald Trump kusitisha misaada kwa Afrika na njia mbadala kujitegemea 10:01
10:01
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé10:01
Uamuzi wa Rais wa Marekani #DonaldTrump, kuagiza kusitishwa kwa muda utowaji wa misaada yote ya kigeni umeibua mjadala na sintofahamu hasa kwa nchi za Afrika, ambazo sekta muhimu ikiwemo afya zinategemea msaada wa Marekani.Tulimuuliwa msikilizaji anazungumziaje hatua hii ya Marekani na Nchi za Afrika zifanye nini kuacha kutegemea misaada ya nchi za Kigeni?…
Mizozo inayosibu ukanda wa Afrika ya Mashariki inaendelea kuongezeka, ikiwemo Sudan Kusini na sasa DRC. Viongozi wa Afrika wanasisitiza matatizo ya Afrika sharti kutatuliwa kwa suluhu kutoka Afrika. Je hili linawezekana?
Ukanda wa Afrika unazidi kushuhudia ongezeko la migogoro huku viongozi wakisisitiza Afrika ina majibu ya mizozo hiyo
H
Habari RFI-Ki

1 Nani wa kulaumiwa kuhusu vita vinavyoendelea mashariki mwa DRC 10:01
10:01
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé10:01
Mapigano kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa serikali ya DRC yanayoendelea na sasa yamefika jimboni Kivu Kusini,Tume ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia masuala ya kibinadamu OCHA ikisema maelfu ya watu wameendelea kukimbia makaazi yao.Kwenye makala haya tumemuuliza msikilizaji nani wa kulaumiwa kuhusu vita hivi vinavyoendelea? na anafikiri ni kwanini imekuwa vigumu kupata suluhu?…
Visa vya uchimbaji wa madini haramu vimeongezeka katika nchi mbalimbali barani Afrika .Afrika Kusini ikiwa mfano wa nchi hizo ambayo imeshuhudia miili ya wachimba midogo zaidi ya 70 ikipatikana katika mgodi wa dhahabu usiokuwa rasmi. Kwenye kipindi cha leo tumemuuliza msikilizaji anafkiri nchi za Afrika zimeshindwa kudhibiti uchimbaji haramu wa madini ? na nini kinaweza kufanyika kuzuia uchimbaji huo haramu ?…
Kwenye kipindi cha leo tunaangazia kurejea afisini kwa rais wa Marekani Donald Trump baada ya kuapishwa kama rais na kuahidi nchi mpya.Tumemuuliza msikilizaji dunia itarajie nini kutoka kwa uongozi Wake na je Waafrika wana matumaini gani kuhusu kuongozi wake Trumpµ?
H
Habari RFI-Ki

1 Wataalamu wa afya kutoka jumuia ya EAC wakutana Mombasa pwani ya Kenya 10:15
10:15
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé10:15
Makala ya habari rafiki imewashirikisha wasikilizaji kutoka kila kona ambapo wasikilizaji wametoa maoni yao kuhusu namna ambavyo wataalamu wa afya kutoka nchi za jumuia ya Afrika Mashariki walivyojadiliana kuhusu utaratibu wa kupata vibali kwenye nchi hizo bila ya kusumbuliwa. Ungana na Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi.…
Bienvenue sur Lecteur FM!
Lecteur FM recherche sur Internet des podcasts de haute qualité que vous pourrez apprécier dès maintenant. C'est la meilleure application de podcast et fonctionne sur Android, iPhone et le Web. Inscrivez-vous pour synchroniser les abonnements sur tous les appareils.