Ukulima wa wadudu na hasa nzi aina ya black Soldier Fly, kama njia mbadala ya chakula cha mifugo wao
Manage episode 399341636 series 1146275
Nchini Kenya, wakulima wameanza kukumbatia ukulima wa wadudu na hasa nzi aina ya black Soldier Fly, kama njia mbadala ya chakula cha mifugo wao.
Kulingana na wanasayansi, nzi hawa wana proteni ya kiwanngo cha juu, na hivyo wanatoa nafasi bora kwa wakulima kuboresha vyakula vya mifugo yao.
24 episodes