Wahifadhi wahofia kudidimia kwa tembo aina ya "Super Tusker'
Manage episode 438498435 series 1146275
Wanasayansi na wahifadhi wameibua hofu ya kutokomea kabisa kwa tembo aina ya "Super Tusker" ambaye pembe yake moja ina kilo takriban 45, ikiwa hatua hazitachukuliwa ili kuzuia uwindaji wao.
Katika mbuga ya Amboseli inayopakana na Kenya na Tanzania, ndovu hawa wamebaki kumi pekee.
24 episodes