Karibu tujifunze Biblia pamoja Barikiwa!
…
continue reading
Ongeza juhudi na kubadili Maisha yako
…
continue reading
Welcome to the Maisha Intentional podcast, where intentional things/conversations happen.
…
continue reading
Ujumbe wa Kutia Moyo na Mafundisho Mafupi Ya Neno La Mungu Kutoka Kwenye Biblia.
…
continue reading
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha. Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika. Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi. Hakikisha unafollow ...
…
continue reading
Anza kuelekea uhuru wako wa kifedha Kwa Kuanza Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako Kwa kutumia Kanuni ya 40/30/20/10.
…
continue reading
Maneno Yako Yana nafasi kubwa ya kufanya Ukubalike au ukataliwe kwenye eneo lolote.Sikiliza episode hii ujue maneno 04 Ambayo Yatafanya Ukubalike Zaidi.
…
continue reading
1
Jinsi Ya Kuweka Akiba Ya Fedha Zako...!
12:17
12:17
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
12:17
Anza kuweka akiba Leo kama unajali kesho na future Yako. Sikiliza episode hii mpaka MWISHo ujue kila kitu Kuhusu namna ya kuweka akiba
…
continue reading
Je Unataka Kulipa MADENI Yako na wakati huohuo unaweka akiba ya fedha zako? Basi sikiliza episode kujua Kanuni ya 70/20/10
…
continue reading
Kanuni ya 50/10/10/10/10/10 itakusaidia Kuanza Kupanga Bajeti Ya Fedha Kiurahisi. Anza kuitumia Leo.
…
continue reading
Inakushangaza kusikia kauli ya kuwa "WEWE NI SUMAKU" sikiliza episode hii ujifunze na uje ukweli wote.
…
continue reading
Kama unajali kesho Yako na kuelekea uhuru wa kifedha basi suala la kuweka akiba ni lazima.Lakini....Kuna makosa ambayo wengi hufanya Katika uwekaji wa akiba zao na pengine na wewe unafanya.Akiba ya malengo ya muda mrefu haipaswi kuwekwa kwenye;1. Kibubu,2. Taasisi za kibenki,3. Chini ya godoro4. Mitandao ya simu.Unajiuliza kama sipaswi kuweka huku …
…
continue reading
Haijalishi wewe ni mpambanaji kiasi gani kama hauna msingi mzuri wa elimu ya fedha.Basi kuna uwezekano mkubwa utapambana sana ila kiuchumi inakuwa vigumu kukua.Kwa sababu...Umekosa nidhamu ya pesa ambayo ni muhimu kuwa nayo kama unataka kufanikiwa katika eneo la fedha.Kwahiyo...Ukianza kupanga bajeti ya fedha zako inakuwa rahisi kurekodi matumizi y…
…
continue reading
1
Sifa 04 Zinazonyesha Wewe Ni MNYENYEKEVU Kwenye Maisha Yako...!
10:57
10:57
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
10:57
Hivi unajua nguvu ya unyenyekevu kwenye maisha yako? Basi fahamu sifa 04 za mtu mnyenyekevu kupitia episode hii.
…
continue reading
Unahitaji sana kujiamini kuliko unavyofikiri, episode ya dakika 6 itakusaidia kuongeza uwezo wa kujiamini kwa njia rahisi kabisa.
…
continue reading
Upende au usipende unahitaji sana maarifa na taarifa kupitia kujifunza, umejaribu kusoma vitabu umeshindwa? Basi episode hii itakusaidia kujua sehemu gani rahisi unaweza kupata maarifa kiurahisi kwenye eneo lolote na upige hatua kwenye maisha yako.
…
continue reading
Hivi unajua Nidhamu ya kazi ndiyo inatofautisha wafanyakazi makini na wafanyakazi wakawaida. Kiwango cha mafanikio yako inategemea Sana kiwango cha nidhamu binafsi.
…
continue reading
1
Zijue Aina 05 Za Nidhamu Zenye Kuleta Mafanikio Makubwa...!
10:28
10:28
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
10:28
Hivi unajua Kiwango Cha Mafanikio Yako inategemea sana na Kiwango Cha Nidhamu Yako.Kupitia episode hii utajua Aina Tano za Nidhamu Zenye Kuleta matokeo Makubwa kama utazingatia na kuziishi kwenye maisha Yako.Unahitaji sana kuwa na Kiwango kikubwa Cha Nidhamu.Sikiliza na uanze kufanikiwa Kwa kuwa utaanza kuishi Kwa Nidhamu kwe ye maisha Yako.…
…
continue reading
Kama wewe ni wale ambao unawatumia watu DM au text za kawaida Kwa Mara ya Kwanza kama vile "Niaje, Mambo, Vipi, Shwari Mkuu, Harakati Ni Vipi Kiongozi, Mrembo mambo n.k"Tambua unakosea sana Tena sana hiyo siyo Kujitambulisha badala ni salamu tu.Swali linakuja unajua jinsi ya Kujitambulisha mtu akiona DM au text Yako apate kuijibu bila kupuuzia.Unah…
…
continue reading
1
Jinsi Ya Kuamini UWEZO Wako Na Kuamini Katika Wewe...!
10:03
10:03
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
10:03
Umekosa sapoti au kushikwa mkono Katika kazi zako au mapambano Yako?Unapitia hali ya kukataliwa na kuona hakuna anayejua thamani Yako Wala Kuamini Katika Wewe?Unapitia hali ya kukata tamaa kwenye kitu unachofanya kwa kuwa matokeo yamechelewa.Unatamani kuwa Bora ila hujui ufanye Nini?Kuna watu wanakurudisha nyuma na kutoamini katika mapambano Yako i…
…
continue reading
Kama unataka Kutimiza Malengo yako Unahitaji kwanza kula Tembo mzima bila kumbakisha mfupa wala mkia. Sikiliza episode mpaka mwisho na ujifunze. Kula Tembo nzima Tumia mbinu ya SYSTEMATIC APPROACH
…
continue reading
Hiyo siyo ATM ya kutoa Hela, ni tofauti na ATM unazozijua kwa sababu Kanuni ya ATM itakusaidia kujua maeneo matatu ya kuboresha Maisha Yako kwa asilimia 100%Sikiliza na ujifunze.
…
continue reading
Umekuwa na tabia ya kuwasema watu wengine kwa namna yoyote kwenye maisha yao? Hii ni tabia mbaya, lakini hujui ufanye nini ili uache tabia hii ya kimaskini na ni tabia mbaya.Inawezekana siyo wewe ila kuna watu wa karibu yako wana tabia hii, basi kupitia maarifa haya utaweza kuwa chachu ya kubadilika kwake.Huwezi kumbadilisha mtu ila unaweza kuwa sa…
…
continue reading
1
Maswali Sita (06) Ya Kuepuka Kumuuliza Mtu Ambaye Hujakutana Nae Muda Mrefu...!
15:39
15:39
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
15:39
Uungwana ni kuangalia ni maswali gani hupaswi kumuuliza mtu ambaye hujakutana nae muda mrefu, kwa sababu ukiuliza moja maoja unaonakena mtu ambaye hujielewi na hujui nini uzungumze kutoka na eneo ambalo upo.
…
continue reading
1
Jinsi Dada Wa Kazi (House Girl) Alivyoninywesha Sumu Ya Panya Ili Nife...!
11:17
11:17
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
11:17
Dada wa kazi alivyotaka kuniua kwa imani za kishirikina kwa kuninywesha sumu ya Panya nikidhani ni dawa. Sikiliza mkasa huu ujifunze kitu kuhusu dada wa kazi na vimbwanga vyao.
…
continue reading
Ukiwa chumbani kwako ni sehemu pekee ya kuwa diary 📔 Au daftari ili uweze kuandika ndoto ambazo unaota na mawazo yako ili usiwe kusahau. Sikiliza episode hii ujifunze
…
continue reading
1
Uchambuzi Wa Kitabu Cha WHO MOVED MY CHEESE? (Nani Kahamisha Jibini Yangu?)
27:39
27:39
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
27:39
Nani kahamisha jibini yangu? Ni kitabu ambacho kinakusaidia kukabaliana na mabadiliko ambayo hukutarajia wala kutegemea kwenye kazi na maisha.Kitabu kipo kwa mfumo wa stori ambao inahusisha wahusika wanne ambao ni1. Sniff2. Scurry3. Hem4. HewNi kitabu ambacho utajifunza namna ya kukabiliana na mabadiliko kwenye maisha.Naamini kupitia uchambuzi wa k…
…
continue reading
1
Jinsi Ya Kuachilia Vitu Na Watu Ambao Wamekuumiza Na Hawatambui Thamani Yako...!
14:00
14:00
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
14:00
Kuachilia haijawahi kuwa jambo rahisi hasa kwa watu ambao umewathamani na kuamini wangekuwa na wewe maisha yako yote, lakini ghafla wanakuachia maumivu na kukuumiza kiakili, kimwili, kihisia.Inaumiza kuona hawatambui thamani yako na unashindwa kuachikilia na kuishia kuwa na roho ya kutaka kulipa kisasi, uchungu, hasira, msongo wa mawazo na kujichuk…
…
continue reading
1
Uchambuzi Wa Kitabu Cha MONEY FORMULA (Kanuni Za Fedha)...!
29:45
29:45
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
29:45
Elimu ya fedha isiyofundishwa shuleni wala vyuo vikuu imepelekea kushindwa kupiga hatua kwenye eneo la fedha.Kitabu cha MONEY FORMULA kinakupa mwongozo sahihi ni kwa namna gani unaweza kufanikiwa kifedha kupitia sheria, kanuni na mitazamo sahihi kuhusu fedha.Hakikisha unafanyia kazi ambayo unajifunza.…
…
continue reading
1
Uchambuzi Wa Kitabu Cha THE RICHEST MAN FROM BABYLON (Tajiri Kutoka Babeli) Kwa Lugha Ya Kiswahili..
46:19
46:19
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
46:19
Unataka kufanikiwa kifedha na kuwa tajiri basi kitabu cha THE RICHEST MAN FROM BABYLON kitakupa mwongozo na sheria za fedha.Uchambuzi wa sura 11 ambazo utapata kwenye episode hii.Hakikisha unaandika pembeni ambayo utajifunza rafiki.
…
continue reading
Par New Life Africa Satellite Network Swahili
…
continue reading
Par New Life Africa Satellite Network Swahili
…
continue reading
Par New Life Africa Satellite Network Swahili
…
continue reading
Par New Life Africa Satellite Network Swahili
…
continue reading
Par New Life Africa Satellite Network Swahili
…
continue reading
1
Kwanini Unataka Kuongeza Au Kupunguza Maumbile Ya Mwili Wako...!
13:41
13:41
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
13:41
Umekuwa na fikra kuwa ukiongeza au ukipunguza maumbile ya mwili wako basi utakuwa umekamilika na hautakuwa na kasoro hata kidogo si ndiyo? Basi Sikiliza episode hii ujifunze madhara ya kutaka kuongeza au kupunguza maumbile yako.
…
continue reading
1
Uchambuzi Wa Kitabu Cha "BIRD BY BIRD"
31:51
31:51
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
31:51
Ni kitabu mahususi kimeandikwa na Anne Lemmot ambacho utajifunza mambo mengi kuhusu uandishi wa vitabu na kuishi maisha yenye uhuru ndani yake.Hakikisha unaandika pembeni mambo ambayo utajifunza kupitia uchambuzi wa kitabu hiki kizuri cha BIRD BY BIRD yaani NDEGE KWA NDEGE.Katika uchambuzi wa kitabu hiki utajifunza sura tano ambazo mwandishi ametus…
…
continue reading
1
Sababu 06 Za Kwanini Unaweza Kutimiza Malengo Yako Ya Mwaka 2024
18:59
18:59
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
18:59
Dakika 18 za kubadili kila kitu na uanze kuchukua hatua ili utimize malengo yako kwa kishindo.Utajifunza mambo 06 ili ufanikishe mwaka 2024 kwa matokeo chanya na mafanikip makubwa
…
continue reading
1
Ufanye Nini Unapitia Hali Ya Kutoeleweka Katika Mapambano Au Utafutaji Wako?...
14:46
14:46
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
14:46
Usijisikie vibaya kuona watu wa karibu au wa mbali hawaelewi wala hawapo tayari kukuelewa kuhusu mapambano yako.Inaumiza kuona watu ambao unawapenda na kuamini inaweza kuwa,📌 Wazazi wako,Ulitegemea ndiyo wangekuwa watu wa kwanza kukuelewa na kuamini unachofanya na imekuwa tofauti wanakukosoa na kukalaumu kwanini unafanya hicho.📌 Marafiki zako,Maraf…
…
continue reading
1
Kabla Ya Kuingia Mwaka 2024 Hakikisha Unafanya Haya..!
16:12
16:12
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
16:12
Umepanga kufanya maajabu mwaka 2024 na umejipanga vizuri kuanzia kupanga malengo yako, ndoto na maono yako. Lakini kuna vitu unapaswa kuzingatia kufanya leo hii kabla ya kuingia mwaka 2024. Utajifunza mambo 05 ambayo yatakusaidia kujua nini ufanye kabla ya kuingia mwaka 2024.
…
continue reading
1
Jinsi Ya Kupata Nguvu Ya KIBALI Cha Kukubalika Machoni Pa Watu...!
16:58
16:58
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
16:58
Unahitaji kukubalika kwenye jambo lolote basi unahitaji sana NGUVU YA KIBALI.Mahali popote hakikisha unaishi vizuri na watu ndiyo maana wahenga wanasema "Mtaji wa mtu ni watu.Ufanye nini upate nguvu ya kibali cha kukubalika machoni pa watu?Sikiliza episode hii mpaka mwisho.Share | Like | Comment | Ask…
…
continue reading
1
Namna Rahisi Ya Kujenga Uwezo Wa Kujiamini Na Ujasiri...!
21:22
21:22
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
21:22
Zijue mbinu 07 za kuongeza uwezo wako wa kujiamini na mwenye ujasiri mkubwa kwa kushinda hofu, wasiwasi, uoga na kujitilia mashaka. Sikiliza episode hii mpaka mwisho na uwezo kujua mbinu za kuwa mtu mwenye kujiamini
…
continue reading
Unajiuliza uishi kama kinyonga ni kwa namna gani si ndiyo? Ni kwamba unahitaji kuwa makini na kuishi kwa tahadhari kama kinyonga na watu wanakuzunguka hasa watu wa karibu yako. Hata wahenga wanasema “Adui hatoki mbali” Sikiliza dakika 9 zenye kukupa mwanga na mabadiliko kwenye Maisha yako. Ushindwe wewe tu rafiki.…
…
continue reading
Hivi unajua asilimia 80% ya watu unawaeleza matatizo yako hawajali kabisa na asilimia 20% wanafurahi kuona matatizo hayo yanakupata wewe hapo. Kanuni ya 80/20 itakusaidia kuchuja nani wa kuwaeleza matatizo yako na wapi kutowaeleza. Unajiuliza ni kwa namna gani Kanuni hii inafanya kazi si ndiyo? Basi Sikiliza episode hii mpaka mwisho ujifunze…
…
continue reading
1
Sababu 05 Zinazofanya Watu Wakudharau...!
13:12
13:12
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
13:12
Hakuna kitu kinaumiza kama watu kukudharau na kubeza uwepo wako si ndiyo?Dharau ina maana kwamba wanachukulia poa jambo au kitu fulani pasipo kukipa thamani inayostahili.Hivi unajua kwanini watu wanakudharau?Ukweli ni kwamba huwezi kuwa mwema na mzuri kwa kila mtu ila inakuwa inaumiza zaidi pale watu ambao umewapa nafasi kubwa kwenye maisha yako ha…
…
continue reading
1
Mambo 05 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kumpenda Mtu Kimahusiano Ya Kimapenzi....!
14:53
14:53
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
14:53
Mahusiano siyo jambo la ulazima ila mahusiano ni jambo la utayari. Mapenzi siyo upofu, ila ni mtazamo wako Kuwa ni upofu wakati umepewa macho uone, akili ili uchanganue na hisia ili ujitathimini. Unajua nini uzingatie kabla ya kuingia/kuanzisha mahusiano ya kimapenzi, basi sikiliza episode hii mpaka mwisho ujifunze…
…
continue reading
1
Aina 10 Za Ujuzi Ambazo Zitakuingizia PESA (High Income Skills)...!
16:58
16:58
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
16:58
Unataka kuingiza pesa na kujikwamua kiuchumi? Kama jibu lako ni ndiyo, basi episode hii inakufaa kwa sababu utaenda kujua aina 10 za Ujuzi ambazo zitakuingizia pesa ni wewe kuchagua Ujuzi mmoja au miwili kisha weka nguvu hapo baada ya mwaka mmoja hadi mitano utaona unaingiza pesa ni uthubutu wako tu. Sikiliza kwa umakini sana…
…
continue reading
1
Mjue Leo Mchawi Wa Mafanikio Yako Ndani Ya Dakika 11...!
11:06
11:06
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
11:06
Hivi unajua kwamba wewe ni mtabiri wa maisha yako? Wahenga wanasema “Every human is magician” wakiwa na maana kila mtu ni mchawi Unajiuliza ni kwa namna gani? Sikiliza episode hii ujue mchawi wa mafanikio yako.
…
continue reading
Ukijua nguvu ya mchakato kwenye maisha yako utapata kuelewa upata kuhusu mafanikio, maendeleo, ukuaji, mabadiliko na kila kitu kinahitaji mchakato. Unataka kujua mchakato haupukeki ni lazima mchakato upitie. Sikiliza episode hii mpaka mwisho ujue nguvu ya mchakato.
…
continue reading
1
Mambo 05 Ya Kufanya Ili Ubadili Maisha Yako Kwa Asilimia 100%...!
11:57
11:57
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
11:57
Kila mtu anataka kupata mabadiliko chanya ambayo yanafanya anapiga hatua na pengine hata wewe kuna mabadiliko ukifanya utaweza kupiga hatua. Swali la kujiuliza unajua ni mambo gani ufanye ili upate mabadiliko unayoyataka kwenye maisha Yako? Sikiliza episode hii mpaka mwisho ujifunze.
…
continue reading
1
Kwanini Unahitaji Kusoma Kitabu Cha Sayansi Ya Malengo...!
13:32
13:32
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
13:32
Kitabu cha sayansi ya malengo ni kitabu bora ambacho kitakusaidia Kutimiza Malengo yako mara 10X zaidi ya unavyotimiza sasa. Wasiliana na mimi 0674698347 kupata kitabu chako cha Sayansi ya malengo
…
continue reading
1
Jinsi Ya Kuonyesha Kipaji Chako Hadi Kukupa Matokeo Makubwa...!
12:18
12:18
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
12:18
Hivi unakijua kipaji chako au kikubwa ni uhai?Pasipo kujali unajua au hujui kipaji chako ila tambua una zawadi ya kipaji ambayo ulipewa na Mungu hata kabla ya kuzaliwa kwako.Kwahiyo...Kuzaliwa kwako Ina maana una kipaji ndani yako.Swali la kujiuliza.Je, unakijua kipaji chako?Hongera kwa kujua kipaji chako cha .... (Taja kimoyomoyo) Ina maana tayari…
…
continue reading
1
Namna Rahisi Ya Kunoa Kipaji Chako Na Kukupa Mafanikio Makubwa...!
14:25
14:25
Lire Plus Tard
Lire Plus Tard
Des listes
J'aime
Aimé
14:25
Kipaji ni kama msuli kadiri unavyofanya mazoezi ndiyo msuli unakuwa mkubwa na wenye nguvu si ndiyo? Basi episode hii utajua namna rahisi ya kunoa kipaji chako kiwe kikubwa na kukupa mafanikio makubwa...!
…
continue reading
Par New Life Africa Satellite Network Swahili
…
continue reading
Par New Life Africa Satellite Network Swahili
…
continue reading